TUTAENDELEA KUFANYA MABORESHO SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI – MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kufanya maboresho ya Sera ya Mifugo na Uvivu ili iweze kuleta tija kwa Taifa. Amesema hayo leo Jumanne (Mei 02, 2023) alipotembelea maonesho ya wadau wa mifugo na uvuvi yanayoendelea kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Amesema kuwa lengo la kufanya maboresho hayo ni kuhakikisha sekta hiyo inaongeza